Our Services
Huduma Zetu
Orodha pana ya huduma tunazotoa kwa safari yako ya uzazi: elimu, jamii, ushauri wa kitaalamu, na mengi zaidi.
Kozi: Trimester 1
Mwongozo wa wiki kwa wiki, dalili, vipimo, na vidokezo vya usalama.
Jamii ya Malkia
Group za mazungumzo, maswali na majibu, na sapoti ya kila siku.
Ushauri wa mkunga
Session 1:1 na mkunga kwa maswali maalum na tathmini.
Warsha za uzazi
Warsha za moja kwa moja mtandaoni zikiongozwa na wataalamu.
Huduma baada ya kujifungua
Kunyonyesha, usingizi wa mtoto, afya ya akili na miadi za ufuatiliaji.
Lishe ya mama
Mipango ya chakula, virutubisho vinavyoshauriwa, na ushauri wa diet.
Afya ya akili
Ushauri na rasilimali za kuimarisha ustawi wa hisia wakati wa ujauzito.
Maandalizi ya kujifungua
Mpango wa kuzalisha, begi la hospitali, dalili za kuanza leba.
Mtoto mchanga (0-3m)
Kuoga, kubadilisha, dalili za hatari, na chanjo.
Kozi za video
Maktaba ya video ya mada mbalimbali inayoweza kutazamwa wakati wowote.
Duka la mama
Bidhaa zilizopendekezwa na wataalamu kwa kila hatua ya safari yako.
Huduma ya simu/WhatsApp
Usaidizi wa haraka kupitia ujumbe mfupi au sauti.